Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi.

Your browser is not able to display this video.


Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
As long as warabu hawataki fukwe tena wanataka mbuga basi maasai wameona isiwe case wacha sisi tukapigwe na kabreeze🤣
 
Kuna sababu syo bure toka enzi za mwalimu wao na sime na vikoi vyao hawajawahi kuleta vurugu
 
Uzi na video hii ipo. Uwe unaangalia nyuzi zingine kabla ya kupost kwani unatujazia server za JF tu.
 
Kazi kwelikweli/jobtrue true
 
Walinzi wa kawaida!? Kwani kuna walinzi wasio wa kawaida?
walinzi wasio wa kawaida ndio hao wamasai na wale vibabu vinalindaga majumba makubwaa havina hata sime ya kuzugia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…