Video :WanaCCM wakipelekwa kwenye mkutano wa CCM

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli??

Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee!...
 
Ukiwa ccm Sheria haina maana.... Navyofahamu hayo malori hayaruhusiwi kubeba watu
 
Ukiwa ccm Sheria haina maana.... Navyofahamu hayo malori hayaruhusiwi kubeba watu
Hao ni ng'ombe mkuu, kwa Karne hii binadamu mwenye akili ya kujitambua huez kubali kuburutwa namna hiyo!!
 
Ng'ombe ni wewe unayeita binadamu wenzako ng'ombe
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…