Video: Wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma hawajui nini maana ya neno 'Tarakimu'

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Siku zote Watanzania humu JF hutuambia wao hawataki kuongea Kingereza kisa ni cha wakoloni, kwamba watakomaa na Kiswahili, ila mimi husema ziku zote humu, ni uzembe na uvivu wa kutokutaka kuchosha akili kwenye kujifunza lugha, hamna cha uzalendo wala utumwa wala ukoloni wala nini maana hata Kiswahili wanachojivunia huwa kinawapa matatizo haswa ikija kwenye matumizi rasmi ya kiuandishi na elimu.
Pia ukifuatilia hata uandishi wao humu, utaona matatizo makubwa sana, hamna lugha hata moja wanayoimudu ipasavyo.

Tazama hii video, jamaa amewaibukia wanafunzi wengi chuo kikuu cha Dodoma na kila mmoja ameshindwa nini maana ya neno 'tarakimu', yaani mwanafunzi amesoma chekechea akamaliza, akamaliza shule ya msingi, akapitia shule ya upili hadi kidato cha nne, akaendelea na kumaliza kidato cha sita na hatimaye akajiunga chuo kikuu, lakini neno la msingi kwenye shughuli za elimu linamshinda, halafu huyo ndio utakuta anahitimu shahada ya uhandisi na kuingia kitaa kusaka ajira.

Utaenda kwa mzungu gani kufanya kazi kwa kujua lugha ya kiswahili pekee?

2020 John Walker out
 
Utaenda kwa mzungu gani kufanya kazi kwa kujua lugha ya kiswahili pekee?

2020 John Walker out
 
Ndio maana wale waliomaliza masomo ya shule ya msingi Tz huwa hawajui hata kuandika majina yao. Ukiwauliza wanaitwaje watakuambia eti wanaitwa baba na kamum, wakati ni vijana ambao tayari wameshabalekhe. [emoji38]
 
Wangesema hata numerali, ila kiswahili bwana ni ngumu, niliwahi badilisha language pack kwenye windows 7 nikaweka kiswahili, aisee haikupita nusu saa nilitoa, inabidi uwe na kamusi ya kiswahili karibu kuna misamiati sio ya mchezo.
 
Utaenda kwa mzungu gani kufanya kazi kwa kujua lugha ya kiswahili pekee?

2020 John Walker out
Kweli mabeberu wamewakamata ubongo, kwa hiyo wewe kazi umeona inapatikana kwa mzungu tu? Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaendesha maisha yao kwa kudra za mzungu?

2020 waiteni wawape kura sababu wanawapeleka crazy ile mbaya.
 
Reactions: Oii
Ndio maana wale waliomaliza masomo ya shule ya msingi Tz huwa hawajui hata kuandika majina yao. Ukiwauliza wanaitwaje watakuambia eti wanaitwa baba na kamum, wakati ni vijana ambao tayari wameshabalekhe. [emoji38]
"balekhe" ndio dude gani?
 
Utaenda kwa mzungu gani kufanya kazi kwa kujua lugha ya kiswahili pekee?

2020 John Walker out
Shida ni maarifa sio lugha. Kama huna maarifa hata wakikupa mkalimani huwezi kuwa na manufaa. Kenya wanacheza na akili za mzungu na kufit inn, ila kwa maarifa wanazidiwa na wachina wengi wasiojua kiingereza.
 
Ebu nambie leo hii utaenda ofisi gani ya mzungu hujui lugha ya kiingereza na akakupa kazi ya ofisi? Labda utaishia kwenye kazi ya ufagizi

2020 John Walker out
 
Kweli mabeberu wamewakamata ubongo, kwa hiyo wewe kazi umeona inapatikana kwa mzungu tu? Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaendesha maisha yao kwa kudra za mzungu?

2020 waiteni wawape kura sababu wanawapeleka crazy ile mbaya.
Hata uende kwa Mtanzania yeyote kuomba kazi kwenye kampuni yake lazima kipaombele cha kwanza ujue lugha ya Kiingereza na kiswahili

Siku hizi hata makampuni makubwa ya ulinzi nchini ukiwa hujui kiingereza hawakupi kazi

2020 John Walker out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…