Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

Hawa jamaa ndio wanaume aisee. Wana Roho ya paka nawakubali sana. Kwa hiyo nguvu aliyotumia mrusi na jins wasivyokata tamaa ni nouma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…