Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah'akbarTakbirr
.... inaonesha jeshi la Russia lina nidhamu mbovu kabisa. Jeshi la aina hiyo usitegemee matokeo ya maana na hasa compared to sifa tulizoaminishwa linazo.Yani generali anazomewa kweli tena generali wa superpower, Russia wanatuaibisha washabiki wao.
Teh teh teh 😂😂😂 umenikumbusha wale Warusi weusi waliokuwa wakitushushia makala na maoni yao yameandikwa lugha ya kirusi humu wakati Vita vipo mwanzoni teh teh 😂😂😂.... anaeweza kututafsiria mawili matatu itakuwa poa sana. Wanasemaje hao watumwa wa fashisti?
Hata mafunzo yao waliopata yana walakini.....hivi Vita vimeanika huo udhaifu.Ni kweli jeshi la Russia halina nidhamu, wapo kama guerrillas tu.
Na walijua kututesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha wale Warusi weusi waliokuwa wakitushushia makala na maoni yao yameandikwa lugha ya kirusi humu wakati Vita vipo mwanzoni teh teh [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mikwara kweli kweli..Ila wapo kimya mno wakati huu ambapo tunahitaji wakalimani.
MK254 kp kipanya44 Yoda Jackal
Hao wanapewa mazingira magumu kuna videos ukiona unawahurumia. Pamoja na mafunzo kuwa ya kiwango cha chini ila mazingira ya kufanyia kazi nayo sio mazuriHata mafunzo yao waliopata yana walakini.....hivi Vita vimeanika huo udhaifu.
T14 Armata
Ila nimesikia kuna nchi watu watakuw mabarafu mda sio mrefu.Wana hasira sana kwa ambavyo wanaendelea kuuawa na mpaka sasa haieleweki nini mipango ya nchi yao na nini haswa wanachofia...
Walianza kwa mbwembe Sana wakimuona Putin kama mungu mtu..,spid Yao ilianza kupungua taratibu baada ya Ukraine kufanya counteroffensive huko khakivu iliyowaacha wengi mdomo wazi..,huku warusi wakiacha silaha kibao.. kuanzia wakati huo walianza kujiengua taratibu mmoja baada ya mwingine.., mpaka Sasa bahadhi ya wamelikimbia jukwaa kabisa [emoji848]Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha wale Warusi weusi waliokuwa wakitushushia makala na maoni yao yameandikwa lugha ya kirusi humu wakati Vita vipo mwanzoni teh teh [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mikwara kweli kweli..Ila wapo kimya mno wakati huu ambapo tunahitaji wakalimani.
MK254 kp kipanya44 Yoda Jackal
Ila nimesikia kuna nchi watu watakuw mabarafu mda sio mrefu.
Naona namna mabomu yanavyodunguliwa na miundombinu.sehemu pekee ambayo Ukraine wanamerudisha Warusi wameondoka wenyewe.Ndio maana huwa nasema hiyo dini yenu huwafundisha ushetani tu, mnalalamika nawaonea, furaha yenu ni kusikia wananchi wasio na hatia wamekufa kwa barafu, Mrusi ameshindwa kupambana kijeshi amekwenda kupiga miundo mbinu ya kutoa huduma kwa wananchi, hata hivyo hayo mabomu yanadunguliwa hadi raha....na huko huko frontline wanauawa kama senene.