MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Jul 6, 2023 #1 Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 3,971 Reaction score 4,440 Jul 6, 2023 #2 MK254 said: Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi??? Click to expand... Sasahivi utaambiwa chanzo ni The Sun kwahiyo hakuna ukweli ni propaganda.
MK254 said: Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi??? Click to expand... Sasahivi utaambiwa chanzo ni The Sun kwahiyo hakuna ukweli ni propaganda.
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Jul 6, 2023 #3 Ukraine wanaandaa Makange humu. Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jul 6, 2023 #4 Source : New York City FM
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jul 6, 2023 #5 Wewe muafrika mashariki MK254 hii habari umeipata wapi kwenye real source tofauti na hiyo ya wamarekani..?
Wewe muafrika mashariki MK254 hii habari umeipata wapi kwenye real source tofauti na hiyo ya wamarekani..?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,106 Reaction score 8,043 Jul 6, 2023 #6 Pro NATO, hii imekaaje!?