Uko sahihi.Kwenye kura za maoni hakuna mshindi.. Kuna aliyeongoza.
Kwa kununua fomu ya kugombea mwenyewe,kwa kuchangia fedha za uchaguzi mwenyewe na kufanya kampeni mwenyewe.Kwenye kura za maoni hakuna mshindi.. Kuna aliyeongoza.
Mara nyingi maswala kama haya hutokea kwenye maeneo ambayo Upinzani hauna nguvu, hivyo wanaamua kubanana humo humo kwa mabadiliko ya lazima.Wangesubiri kampeni zianze
Usikute Upinzani hauna nguvu maeneo hao hivyo wanaamua kutoa kilio chao hadharani
Wananchi wa kata ya Mbwambo Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro wameungana na viongozi wao kupinga jina mgombea Udiwani lililorudishwa na Chama Cha Mapinduzi
Wananchi hao wakiwa na mabango mbali mbali ya kuwasihi viongozi wa CCM Taifa kuingilia kati sakata hilo wamemtaka Rais Magufuli aingilie kati.
Jina lililorudishwa alikuwa mshindi wa pili alipata kura 83 dhidi ya 117 za aliekuwa mshindi.
Diwani huyo ambaye hatakiwi na wananchi ameongoza kata hiyo kwa miaka 15 mfululizo