Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu!
==
Washiriki wa shindano la Kitila Jimbo Cup wakishindana kula mikate kwenye moja ya mchezo inayochezwa leo Feb 22.2025 kwenye uwanja wa Kinesi ambapo ilitanguliwa na mbio zilizoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twangea ambaye amemwakilisha Mbunge wa jimbo hilo Kitila Mkumbo ambaye ndie aliyeandaa mashindano hayo.

Ni uoga mkuu, siasa zinaendeshwa kwa mkono wa chuma kwa namna fulani.
Kuwahishwa akhera ni jambo la mara moja na kama ujuavyo ushirikiano ni 0, ukichuma janga utakula na wa kwenu hivyo wengi wameamua kuipa kisogo siasa.
Na ni jambo linalofurahiwa na wanasiasa wengi na wanafanya juhudi kubwa ili watu waendelee kufatilia mambo yasiyo ya msingi.