Pre GE2025 Video: Wanawake wa BAWACHA walipuka kwa furaha baada ya jina la Mbowe kutajwa ukumbi Mlimani City. CHADEMA kuna mpasuko?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Huyu Katibu Mwenezi wa BAWACHA bila shaka alikuwa ni Team Mbowe,

Yaani kweye speech nzima kamtaja Mbowe tu, Lissu kamtaja mara moja tu tena huko mwishoni.

Lissu na kamati kuu CHADEMA kuweni makini sana huyu.

Huyu sio mwenzenu

wewe ni msigwa Peter hivyo hatukushangai. Mbona sioni kushangilia unakkuema? Umelogwa
All in all, Lisu hakumtendea haki Mbowe kwa kumtukana wakati wa Kampeni. Mimi bado hilo nalikemea mpaka mwisho wa dunia.
 
wewe ni msigwa Peter hivyo hatukushangai. Mbona sioni kushangilia unakkuema? Umelogwa
All in all, Lisu hakumtendea haki Mbowe kwa kumtukana wakati wa Kampeni. Mimi bado hilo nalikemea maka mwisho wa dunia.
Uliyesema wabangaizaji hawamtishi lkn wamemrudisha nyumbani kucheza na paka!!
Comparison hufanywa na chawa, wenye ideology wanaishi kwa amani kwa kuwa Wana Cha kupigania
 
Kama alikuwa anaelezea mafanikio ya bawacha ktk kukijenga chama kwa miaka iliyopita ulitegemea amtajetaje lisu kwa lipi?
 
Lissu anaongoza hewa tu, hana nguvu kwenye chama.
 
Wakuu,

Huyu Katibu Mwenezi wa BAWACHA bila shaka alikuwa ni Team Mbowe,

Yaani kweye speech nzima kamtaja Mbowe tu, Lissu kamtaja mara moja tu tena huko mwishoni.

Lissu na kamati kuu CHADEMA kuweni makini sana huyu.

Huyu sio mwenzenu

Kumekucha. Huyu ni nani?

Viongozi wanatakiwa kukubali kuwa wapo wanachama wanaomkubali sana Mbowe. Wanatakiwa kuwaonyesha kuwa bado wana nafasi ndani ya uongozi mpya. Wakiendekeza mambo ya huyu sio mwenzetu chama kitawashinda maana Bawacha ina umuhimu mkubwa katika chama. Heche hilo amelitambua. Sijui kama Mwenyekiti nae amelitambua maana kuna tetesi kuwa hafurahii Bawacha kumuenzi Mbowe.

Amandla...
 
wewe ni msigwa Peter hivyo hatukushangai. Mbona sioni kushangilia unakkuema? Umelogwa
All in all, Lisu hakumtendea haki Mbowe kwa kumtukana wakati wa Kampeni. Mimi bado hilo nalikemea maka mwisho wa dunia.

Mkuu umekula kweli leo?

Mbona una hasira sana?
 
CCM kweli hamna akili. Hivi hizi ndo hoja zenu?

Hicho chama kime collapse akili zenu kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom