Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wanawake wa Kenya mnakwama wapi?

Ni excitement au despration ya kuingia ndoani?

Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.

wanawake wa zamani walikuwa wanalia siku ya NDOA na kunabaadhi ya mabaki ya wale wa zamani Sasahivii huwa hiyo hali inawatokea B'se wanajua kwa ukamilifu mantiki ya NDOA

Sasa huyu mwanamke kama kwenye umati mkubwa KIASI hichi wa watu yupo hivyo je mkiwa wawili nyumbani na ikatokea sintofahamu au migogoro itakuwaje? Itawezekana Kweli kumzuia? 😀
 
😆😆😆😆 hakika wanaume tuliwezwa kweli kwenye suala la ndoa.
 
Wakuu,

Wanawake wa Kenya mnakwama wapi?

Ni excitement au despration ya kuingia ndoani?

Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
Huo ndo mfumo mzuri Sasa nimeupendaa

sweery siku Yako ya harusi puliza filimbi hiyoo
 
Back
Top Bottom