- Maumivu yatoweka
- hamu ya chakula imeongezeka
- nguvu zinarudi kwa kasi mwilini
- wamejitolea kufuatiliwa na taasisi za serikali kuona manufaa ya kikombe cha babu
Video Hisani ya Tangibovu wa YOUTUBE: Habari za Tanzania via Kennedytz (march 28, 2011)
Taarifa ya Taasisi za serikali ya Tanzania Muhimbili, NIMR na TFDA zinasema dawa ya Mugarika ya Mchg. Ambi Mwasapila ni salama kwa matumzi ya binadamu na inafuatilia kuona matokeo ya kama inatibu magonjwa sugu na kumpatia hati miliki ya dawa Mchg. Ambi Mwasapile:
Video kwa hisani ya Tangibovu wa YOUTUBE: Habari za Tanzania via Ch 10 10x264 28/03/2011
Last edited by a moderator: