Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Angalia hapa jinsi Waumini wanavyomwagiwa juisi zenye upako kutoka kwa Mchungaji.


Nini maoni yako?
 
Ulokole ukikukolea vizuri huwa ni uendawazimu ulikithiri. Maana mwendawazimu wa kawaida hiyo juice atainywa na hawezi kuifanyia huo upuuzi
 
Bora niendelee kubakia na dhambi za mwa J mwenye uti grade one
 
Wakristo wengi hawana akili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom