Video: WEMA akimwagaa mihela balaa kwenye party

Video: WEMA akimwagaa mihela balaa kwenye party

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Jana Ijumaa Wema alimwaga mapene yasiyoisha kwa msanii wa Taarab Khadija KOPA, chezea pesa weye....

 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh Jamani kweli hapana shindana na mwanamke kabisa, pesa ilivyo ngumu hiv...
 
Mume wangu mahebe......., kumbe teknolojia unaijua???........! Chezeiya mahebe weye!!??
 
Mh ila ki ukweli wema kafanikiwa sana, nimeona juzi kagongesha audi Q 7 , nikiangalia mie na ka phd kangu ndo nimefanikiwa kuinunua Q 7 mwezi januari,2013 baada ya kusota darasani kweli kweli. Sijui binti huyu anatengenazaje pesa , hongera zake.
 
Back
Top Bottom