Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Naamini kila mtu aliumbwa kwa kazi maalumu, Wema ni mmojawapo.
Hata watu wangemshaurije hawezi kubadilika.
Hayo ndiyo aliyoyachagua. Wakati utakapofika atabadilika na kutulia, japokuwa itakuwa too late.
 
Tatizo la wabongo waswahili ni kufuatilia maisha ya mtu ambaye hawahusu kabisa!
Eti malaya!! Hivi kuna demu asiyeto...mbwa tena na mi..boo ya sampuli za kila aina!!
Kweli nyani haoni kundulee!
Wengine humu ni Malaya ka opena za bar! Sema tu hawajulikani hata mtaani kwao!!!!
Hawana nyota! Nyota za punda!
Pambaneni na shida zenu walau mzipunguze!
Sio kisa una kawowo kama ka mtoto bhasi unapelembwetwa kama una nyegeee za m.Ku..ndu!
Cha ajabu unayemsema hana taarifa kama kuna mnyooo Wa aina yako una exist![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
He he he he
naona kafurahi kweli kweli aiseee
Mpaka kufikia hatua kuanika wo wo wo hadharani, si mchezo


Ile hirizi na picha ya Diamond aliyetupa jalalani baada ya kumfanyia domo kafara naona imejipa na ndiyo maana anafurahi kupita kipimo. Mademu wa kibongo bwana, sina mpango nao hata kidogo.
 
Shida sio kuwa na wowowo. Shida ni kuwa huyo mwanamkeni productive?
Kama unakuwa na dem mkali ndani lakin hazai nin faida yake?
 
Dah hatari tupu. Wema yupo sawa jamani mengine tueke pembeni.

Ila dah mzee dai anafaidi. Mzigo kama huu anatafuna tu kidharau kabisa, mana unashoboka wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…