Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

ana kasauti kama vile, ni kazuri ka sauti kake.. ila kwenye mawowo hayo ni maumbile sio wote tunayapenda wengine tunapenda vi slim, hayo yenye mawowo hua hayana mvuto kabisaa
 
ila juwa kuwa Diamond na Zari hawajaachana na watafunga ndoa mwaka huu anayebisha ntamkumbusha siku hiyo
 
Daah wacha na mimi nitafute hela ka za idris, diamond, kanumba, JUMBE, Anko lundenger
 
Ila wema mzuri na mtamu tuache utani jamani
 
Bado natafta no ya kidot
Mwenye nayo anipe
 
Huyu dada alikuwaga mzuri sana, na alibarikiwa shepu ya asilia kabisa. Alikuwa kiportable fulani hivi mwenye rangi ya chocolate.
Kwa kweli alikuwa mzuri sana. Sasa sijui kilimkuta nini akaanza kujichubua, na KUTUMIA madawa kuongeza makalio kwa kweli shepu yake imeharibika. Makalio feki sijajua kayapendea nini. Picha hizi zaonyesha alama ktk kalio lake la kulia ambalo ni wazi kabisa kuwa ni sehemu iliyotumika kuingiza "dawa" maeneo hayo ili kuyaumua makalio yake.
Ushauri: Wanawake ridhikeni na miili yenu alivyowaumba Mungu, kufanya alichofanya Wema ni uhaini kwa Mungu.







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…