Video ya Diamond alipozomewa usiku wa fiesta pale Leaders Club!

mi naona hazomewe tu mana nyimbo nzuri yy, tuzo yy 2,video kali yy 2,kolabo za nje yy 2,matamasha ya hela yy 2,yaani hata hashuki bora tuzomee tu.

katika kolabo zake zoteee..kuna kasanii kamoja kanaweza kufikia hata robo ya r kelly???? nilikuwa nauliza tu
 
katika kolabo zake zoteee..kuna kasanii kamoja kanaweza kufikia hata robo ya r kelly???? nilikuwa nauliza tu

Hakuna...
Lakini imebaki historia aliyefanya Kolabo hakuitumia vizuri hiyo nafasi otherwise tungekuwa tunaongea habari nyingine hii leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…