Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili. Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi kwa muda mfupi, imevunja rekodi yake mwenyewe ya video yake ya wimbo ‘Kigogo’ ya kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4. Diamond Platinumz ni msanii ambaaye video zake za muziki zinapata views wengi kupitia mtandao wa YouTube kwa muda mfupi. Wahenga wanasema namba huwa hazidanganyi, kama kuna msanii yoyote Tanzania anayejiona yeye ni zaidi ya Diamond basi atuwekee uthibitisho hapa kama amewahi kupata watazamaji 1m ndani ya siku mbili au nne.