Video ya Diamond ya wimbo ‘Salome' yafikisha views milioni 1 YouTube ndani ya siku 2

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili. Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi kwa muda mfupi, imevunja rekodi yake mwenyewe ya video yake ya wimbo ‘Kigogo’ ya kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4. Diamond Platinumz ni msanii ambaaye video zake za muziki zinapata views wengi kupitia mtandao wa YouTube kwa muda mfupi. Wahenga wanasema namba huwa hazidanganyi, kama kuna msanii yoyote Tanzania anayejiona yeye ni zaidi ya Diamond basi atuwekee uthibitisho hapa kama amewahi kupata watazamaji 1m ndani ya siku mbili au nne.

 
Team fulani wakija hapa watasema kanunua hao watazamaji[emoji23] [emoji23]
 
P square walitoa wimbo wao siku mbili kabla ya Salome ila mpaka sasa wana 900K. Safi sana Simba Roho mbaya. Kuvunja rekodi yako mwenyewe si jambo dogo.
 
Pamoja na hayo waloupenda ([emoji106] ) ni 14,283 na waliokuwa kinyume ([emoji107])ni 1,295.

Hii ina maanisha ni nzuri au watu walikuwa na shauku ya kuuona?
Me nashauri km mtu unamchukia diamond usiwe hata na shauku yakufuatilia kazi zake....akitoa video usihangaike kwenda u tube kuangalia video....coz km unamchukia there is no way ukaja kuipenda kazi yake hata cku moja....kabla huajaangalia tayari unakuwa ushajiandaa kusema mbovu.... so hao washauku ni vema wakapeleka shauku zao kwa wasanii wao pendwa coz kwa shauku ya na chuki yao bado jamaa anaweka record na kuzivunja yy mwenyewe..... Hussein machoz aliimba kwa chuki kwa moyo utaipenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…