hujaelewa au unataka malumbano
[emoji23][emoji23][emoji121][emoji121][emoji121]kwa akili hizi hushindwi kuhoji wanakwaya wanao msifu Mungu mbona video zao Mungu aonekani wanaonyesha mashati ya vitenge tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana pia, sanaa ndio ilivyo.Hata mimi nilijiuliza hili swali au labda kamaanisha wale madem ndio gari zake!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sema mkuu wewe ni mkorofi sanaππππππHiyo kitu ipo miaka mingi
Mfano nyimbo hii ya miaka hiyo haina uhalisia na nyimbo/yani picha haielekeani na maelezo
Nyimbo inaongelea mrembo namba nane lakini wadada waliopo kwenye video ni namba moja
Sema mkuu wewe ni mkorofi sanaππππππ
Tangu huo wimbo utoke sikuwahi kuona video ya wimbo ila kila nilipokuwa nausikia nilikuwa napata picha ya video queen mwenye umbo matata. Ila wiki chache zilizopita nikaona video yake, aiseee.....niliishiwa nguvu.πππππKwani uongo?πππ
Hii nyimbo ingetoka miaka hii tungeshuhudia namba nane za kutosha za kisasaTangu huo wimbo utoke sikuwahi kuona video ya wimbo ila kila nilipokuwa nausikia nilikuwa napata picha ya video queen mwenye umbo matata. Ila wiki chache zilizopita nikaona video yake, aiseee.....niliishiwa nguvu.πππππ
Kweli aise, naamini hata mwenye wimbo akiuangalia sasa hivi anajiona mkosefu sana mbele za mashabiki wake, lazima atakuwa anasononeka.ππππ. Ila ni bonge la wimbo.Hii nyimbo ingetoka miaka hii tungeshuhudia namba nane za kutosha za kisasa
Tatizo zamani kuku wa kienyeji walikuwa wengi zaidi
Kweli aise, naamini hata mwenye wimbo akiuangalia sasa hivi anajiona mkosefu sana mbele za mashabiki wake, lazima atakuwa anasononeka.ππππ. Ila ni bonge la wimbo.