Video ya kiki: Diamond Platinumz kaweka video hii mtandaoni

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
JANA DIAMOND PLATINUM ALIJIREKODI NA KURUSHA HI VIDEO MITANDAONI
 
Hahahaha Anapenda sanaaa, kulamba mdomo...
 
Watu bwana! mwezi wa ramadhani zari kawekwa pembeni ili afunge, wakati huo huo anawasiliana nae na wanasubiri ramadhani iishe waendeleze zinaa yao kwa kwenda mbele.. wana mchezea Mungu kweli.
 
Wanalamba lamba midomo tuu, kama ....... flani hivibmi cjaona cha ajabu hapo.
 
Watu bwana! mwezi wa ramadhani zari kawekwa pembeni ili afunge, wakati huo huo anawasiliana nae na wanasubiri ramadhani iishe waendeleze zinaa yao kwa kwenda mbele.. wana mchezea Mungu kweli.
Diamond na Harmonize hawafungi bali wanashinda njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…