Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku.
Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa kiafrika akiwa chini ya makalio ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu, akipokea gogo (haja kubwa) mithiri ya mtu aliyebombani amekinga mdomo kupokea maji.
Video hiyo mbali na kuonyesha uchafu huo inadhihirisha ni namna gani dada zetu wanadhalilishwa utu wao na kushushwa hadhi na jamii ya watu wa Arabuni.
Kwa mujibu wa wachangiaji wa comments, inasemekana video hiyo imerekodiwa huko Dubai na inasemekana ama kusadikika kuwa wadada hao wamesheriki video hiyo kwa malipo ya kiasi cha fedha ikiwa namna yao ya kujitafutia kipato na fedha kubwa kwa namna ambayo wao wameona ni rahisi.
Nategemea taasisi, asasi na hata mamlaka za kiserikali popote pale hapa duniani zitafuatilia kwa kina ili ukweli wa kina uweze kubainika juu ya video hiyo na wahusika walioshiriki na kushirikishwa waweze kuhojiwa na kubaini haya mambo hutokea katika mazingira gani na makubaliano gani.
Lakini pia wahusika kuchukuliwa hatua kwa kukiuka haki za kibinadamu kwa kumlisha mwanadamu mwingine kinyesi chake bila kuzingatia madhara ya kiafya ambayo yangeweza kumkuta muhusika au wale wanaomzunguka.
Natamani kuiweka hapa ila sina uhakika kama sheria za JF zinanipa kibali kufanya hivyo.