Video ya kusikitisha ya Rah P Akielezea Alivyoteswa na Kuzalishwa Watoto Wawili Marekani

Wengi wanafikiri ukifika majuu tu maisha umeyashinda..
 
Tuongee ukweli, pamoja na yote, Life lake na life la wadada wa kibongo walio kwama, kama sista P, zay b na wengine wengi. wapi linawapiga zaidi? Rap P apartment kali, gari safi, ngozi inawaka, yaani kila kitu utamu. Bora akae uko uko maana angekuwa bongo pengine angekuwa kama Madame uchwara
 
start new life mama hakuna jipya jengine what you went through inatosha for learning a lesson so start afresh but sidhan kama going back to music in states will do good to her...
 
Njoo Raha p mm nakuzimia tuu Rudi mama rudi tucheze cha Babaa babaah hata ukirudi na 3 children nitawalea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…