Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

Zanzibar......., bt where is my Tanganyika....???

Nani anipe jibu??
 
Yaani wazenji wanauza bandari zetu , tukilalamika maumivu wazenji tena wanatutisha kutuumiza (pengine ndio kutuua huko).
Sasa watu milioni 2 wanawezaje kuwa control milioni 60?
Ama kweli wingi wa nyumbu hautishii idadi ndogo ya fisi!
 
Anataka kuturudisha awamu ya 5, mama mtimue huyu "DIKTETA" hafai kuwa waziri atatuangamiza.
 
Anataka kuturudisha awamu ya 5, mama mtimue huyu "DIKTETA" hafai kuwa waziri atatuangamiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…