Video ya MR @ akiwa Marekani akisifu Fiesta yaibuliwa

Joined
Mar 29, 2011
Posts
55
Reaction score
19
YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏
Video ya Sugu aliyoitengeneza Marikani miaka mitatu iliyopita ikiwa kama promotion ya Fiesta wakati huo imeibuliwa na kufanyiwa editing ili ionekane kama ni ya leo akisifu Fiesta. Nia ya walioiibuwa inawezekana kuwa ni kumweka katika mahala pabaya hasa kutokana na kupinga Fiesta ilivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…