PreGE2025 Video ya Mtia nia Ubunge CCM Mvomero, Burton Mwemba (Mwijaku) akigalagala chini akimshukuru Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mweee!! nchi ina vituko hii, huyu wakimpitisha wallah tena uraia wa bongo siutaki tena. Bunge haliwezi kua na hawa wapumbavu NEVER!
 
Huyu jamaa ni mpumbavu kweli! Juzi nilikuwa namsikiliza press ya endorsement yake nikagundua malezi yanaweza kumfanya mtu akawa na husda for no reason!
Mkuu uchiz wa jamaa umekuudhi na kukukasirisha hadi ukaamua kuvunja miiko yako humu jamvini ya kucomment na kuchangia tu Kenyan Forum.

Ila jamaa licha ya uchiz linakera kupita maelezo.
 
Anaitwa eti kipenzi cha watanzania. Na dini anaifaham vema kakariri Quran yote.

Tanganian
 
Mkuu uchiz wa jamaa umekuudhi na kukukasirisha hadi ukaamua kuvunja miiko yako humu jamvini ya kucomment na kuchangia tu Kenyan Forum.

Ila jamaa licha ya uchiz linakera kupita maelezo.
Aisee imebidi nichangie ile tabia yake ni malezi mabovu! 🤭🤭
 
Mzazi kuzaa kijana wa aina hii ya kina Mwijaku ni msiba mkubwa sana kwenye familia...
 
Hadi aibu
 
Huyu kijana ni mwenyeji wa Moro ?
A
 
Degree holder wa UDSM huyo, jamaa fala sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…