Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Hahaha halafu inaonesha ni yakitambo kidogo au aliepuka kwenda gesti akaenda kwenye hiyo nyumba!

Cha msingi hapa ni kuenjoy tuu kama haku enjoy basi anapaswa kutoa lawama kama ali enjoy au lah basi haya ndio matokeo ya raha ...

Hapa hakuna wa kumlaumu chamsingi wasameheane tuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Kwakweli inasikitisha sana

These blackmailing should stop

Tuone sasa watu wakifungwa jela kiukweli

Sio maneno matupu

Nyie nao mnafanya mambo yawe magumu tuu nani kakwambia hapo ni blackmailing? Au kwasababu ni Mina Ally? Hivi kwani watu awawezi kuachia picha zao mpaka iwe blackmail?

Hapo mnajaribu kumtetea Mina au?
 
Nyie nao mnafanya mambo yawe magumu tuu nani kakwambia hapo ni blackmailing? Au kwasababu ni Mina Ally? Hivi kwani watu awawezi kuachia picha zao mpaka iwe blackmail?

Hapo mnajaribu kumtetea Mina au?

Sio meena ally bana
 

Hahahaha mambo ya zanzibari hayo hahahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…