Wee umeipata wapi iyo videoKuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.
Ndio Ndugai alimuona?Ni kweli! Yesu amekuja mara ya tatu akaona duniani hapafai kabisa akarudi zke mbinguni, yupo kuume kwa Mungu baba!
Ila mkuu si ungeweka hiyo video hapa tulinganishe na biblia?
Haina ukweli ileKuna video inayostua Sana inamuonyesha mzee akiwa sokoni anatembea huku kamera ya mwanahabari ikirekodi taarifa nyingine isiyohusiana na huyo mzee Ila Cha kushtusha mzee anapotea Kama upepo ni video inayotisha. Mwenye nayo aiweke namimi najaribu kuiweka.