Jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa Fiesta now anaisifia! angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua SUGU VIDEO
‎...Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA,kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!
jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa fiesta now anaisifia! Angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua sugu video
haijachakuchuliwa hiyo video nafikiri ni ya kipindi cha zamani fiesta zilizopita... Itakuwa point yao ni kwamba mtu anayeka taa hiyo fiesta ndio huyo huyo aliwahi kuisifu fiesta. Sema sugu alitowa pointi zake za kwanini safarihii hajakubaliana na fiesta sababu za unyonyaji wa kisanii za wasanii wa kitanzania na haki zao.