Video ya unyama ya wanafunzi waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa simu

Video ya unyama ya wanafunzi waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa simu

kiladay

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
156
Reaction score
5
Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea tu baada ya tuhuma za wizi wa simu iliyoelekezwa kwa wanafunzi wadogo wa chuo cha UNIPORT kuvuliwa nguo, kupigwa na mwisho kuchomwa moto.


Mungu azilaze roho za marehemu hawa mahala pema peponi. Amina.

Video hii hapa:
kilaDay - Video ya wanafunzi wanne waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma za wizi wa simu
 
dah!...inasikitisha sana..........Utakuta simu yenyewe ilikuwa ya mjomba Hu Jintao ambayo by Dec 31 ingekuwa imeshajifia.
 
dah...... ningewaona watu wa maana kama wangefanyia vile mafissadi wa ccm,

Hapa ni korner zp za nchi hii pacpo na vyombo vya usalama?
 
Back
Top Bottom