Video ya Uwanja wa lake Tanganyika matayarisho ya fainali ya shirikisho

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
 
Du,,adi aibu!,yani hata mashine ya kukatia nyasi inayotumia mafuta imekosekana mpaka wakampa kazi mzee wa watu kufyeka hizo nyasi?
 
siku hiyo gomez na nabil itabidi wakae chini wacheke tu fainali litatia aibu nchi maana azam tv wanarusha yaani jameniii looool
 
Nyasi zinafyekwa kwa mkono[emoji33][emoji33]
 
si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui

Duuh wanafyeka na kwanja 🤣🤣🤣
 
TFF angalieni upya uwanja wa kucheza mechi ya fainali. Mechi ya fainali ichezwe kwenye kiwanja chenye ubora sio ilimradi kiwanja.
anataka kura za kigoma,kigoma, kagera .... karia bora nchi ichekwe siku ya simba na yanga nchi jirani watakuwa hawana mbavu TFF hawajali wanachotaka kura za ulaji tu
 
Tatzo lao sasa, sawa washaamua kucheza fainali hicho kiwanja na maamuzi yanajulikana mapema tu lkn cha kushangaza wanakuja kuanza marekebisho ya uwanja wiki tatu za mwisho.
 
Bora akawaachia tu wenye mpira wao akina Ali Mayay na yeye kusubiria uteuzi kutoka kwa mwenyekiti wake wa chama.
Fainali ya Kombe la Azam inajulikana itafanyika wapi tangu mwaka Jana, inakuaje Hadi muda huu uwanja haujawa tayari
 
Viwanja vya ccm hivyo mbaya zaidi wao ndio watawala utawafanyaje sasa wakati wameshika mpini, utawalaumu bure tu akina karia na TFF, wakati kirusi kinajurikana siku nyingi mpaka kimekuwa sugu.
 
siku hiyo gomez na nabil itabidi wakae chini wacheke tu fainali litatia aibu nchi maana azam tv wanarusha yaani jameniii looool
Huo uwanja wa Lake Tanganyika lazima Matola atakua keshawai kuchezea,amwage mbinu kama vipi manake ndo ishakua hivyo.
 
Back
Top Bottom