njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
siku hiyo gomez na nabil itabidi wakae chini wacheke tu fainali litatia aibu nchi maana azam tv wanarusha yaani jameniii loooolDu,,adi aibu!,yani hata mashine ya kukatia nyasi inayotumia mafuta imekosekana mpaka wakampa kazi mzee wa watu kufyeka hizo nyasi?
Duuh wanafyeka na kwanja 🤣🤣🤣si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
anataka kura za kigoma,kigoma, kagera .... karia bora nchi ichekwe siku ya simba na yanga nchi jirani watakuwa hawana mbavu TFF hawajali wanachotaka kura za ulaji tuTFF angalieni upya uwanja wa kucheza mechi ya fainali. Mechi ya fainali ichezwe kwenye kiwanja chenye ubora sio ilimradi kiwanja.
Tatzo lao sasa, sawa washaamua kucheza fainali hicho kiwanja na maamuzi yanajulikana mapema tu lkn cha kushangaza wanakuja kuanza marekebisho ya uwanja wiki tatu za mwisho.anataka kura za kigoma,kigoma, kagera .... karia bora nchi ichekwe siku ya simba na yanga nchi jirani watakuwa hawana mbavu TFF hawajali wanachotaka kura za ulaji tu
Bora akawaachia tu wenye mpira wao akina Ali Mayay na yeye kusubiria uteuzi kutoka kwa mwenyekiti wake wa chama.Ndio maana tunataka karia asiwe raisi wa TFF tena
Fainali ya Kombe la Azam inajulikana itafanyika wapi tangu mwaka Jana, inakuaje Hadi muda huu uwanja haujawa tayariBora akawaachia tu wenye mpira wao akina Ali Mayay na yeye kusubiria uteuzi kutoka kwa mwenyekiti wake wa chama.
Viwanja vya ccm hivyo mbaya zaidi wao ndio watawala utawafanyaje sasa wakati wameshika mpini, utawalaumu bure tu akina karia na TFF, wakati kirusi kinajurikana siku nyingi mpaka kimekuwa sugu.Fainali ya Kombe la Azam inajulikana itafanyika wapi tangu mwaka Jana, inakuaje Hadi muda huu uwanja haujawa tayari
Huo uwanja wa Lake Tanganyika lazima Matola atakua keshawai kuchezea,amwage mbinu kama vipi manake ndo ishakua hivyo.siku hiyo gomez na nabil itabidi wakae chini wacheke tu fainali litatia aibu nchi maana azam tv wanarusha yaani jameniii looool