Mdahalo wa Wabunge watarajiwa vijana toka vyama vya siasa ambao CCM wameukacha, baadhi ya dondoo zilizozungumzwa ni PART 1 na PART 2 kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE:
- Kuchochea vijana kugombea nafasi za kisiasa
- Elimu na Huduma afya za Bure
- Ambulance mgonjwa anachangia Tshs.120,000/= chini ya serikali ya CCM
- Hakuna Waalimu wa Kutosha
- Zitto kuwa-support wabunge vijana toka upinzani wakishinda
- Miaka karibu 50 ya Uhuru, nyufa za walionacho na wasionacho zinazidi kuonekana
- Ukuaji Uchumi umepungua na umasikini umeongezeka
- Mikoa tajiri ya pembezoni kama Kigoma kasi ya maendeleo imechochewa na Chadema
- Dr. Faustine Ndungulile wa CCM azuiwa kushiriki mdahalo wa wabunge vijana
- Tanzania imekosa viongozi wenye utashi wa kuweka maendeleo ya Watanzania mbele
Last edited by a moderator: