britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Wanajua kuhakikisha kuwa salary imeingia ama hajaingia.Mulamula kazi yako hii
Haha.. hatari sanaWaliotekwa wana simu wanajipiga selfie?
Nimeelewa hivi:Aliyeelewa atueleweshe tafadhali
Kwa taarifa yako miaka hii ktk nchi ambayo wananchi wake wanaonewa sana huko nje(nchi za kiafrika)hasa zilizoko jilani zetu, na husikii tamko kali kutoka serikalini ni Watanzania, hasa wanafanya kazi za udreva!!wakiwa zambia, DRC, malawi, uganda, kote huko ni manyanyaso tu, wakipeleka kero zao ndipo utasikia michakato inaanza ya kuangalia sheria!Hatuna balozi huko au kazi yake kusaini karatasi tu ofisini?
Mambo ya CCM hayo.Nieleweshe mkuu mtu ana smartphone yenye bando inakua vipi asijue yupo wapi? Au mimi sijaelewa?
Wale waliopewa kisago na kina Kinga-i na Mahi-taa?Wale makomando wa JWTZ wako wapi? Hizi ndiyo kazi zao kuwaokoa raia waliotekwa.
Unashangaa nini kolo, kama mtanzania anaweza akaweka bundle na asile chakulaNieleweshe mkuu mtu ana smartphone yenye bando inakua vipi asijue yupo wapi? Au mimi sijaelewa?
Makomandoo siku hizi wanakalishwa na mbwa wakakamavu Yaan Makruta 😂Wale makomando wa JWTZ wako wapi? Hizi ndiyo kazi zao kuwaokoa raia waliotekwa.
WamezuiwaWaliotekwa wana simu wanajipiga selfie?