Kama uliangalia muvi ya Saloon ya mamaKimbo wa Buza hautashangaa kwa hili, kila jambo huongezwa nyama. Ukiwagusa kwenye hela walizokuwa nazo huko ndiyo balaa hakuna chini ya milioni tano!
Nendeni Malawi Cargo Kurasini mkaone malori yaliyokaa kwa zaidi ya siku tano bila kupakua mizigo, kuna foleni ya zaidi ya kilomita moja yametelekezwa.