Video ya Wema sepetu na calisah yavuja.

Status
Not open for further replies.
Huyo mnyaturu anahangaika kweli hakuna wa kumuoa,nani aoe mwanamke katumika hivo,hayo ndio maisha yake.ana stress sana umri umeenda mume hakuna.
 
Huyo mnyaturu anahangaika kweli hakuna wa kumuoa,nani aoe mwanamke katumika hivo,hayo ndio maisha yake.ana stress sana umri umeenda mume hakuna.
Ndio alipaswa akae chini ajiangalie mapungufu yake na akubali kuachana na magroup yote ya kijinga ila yeye ndio kumekucha
 
sie wanaume ni watu wa ajabu sana aisee, unajua kabisa fulani anapakuliwa na fulani tena basi na mikashfa kibao bado tu tunajipeleka ka mbwa aliyemuona chatu
 
Ongezea Clement, Jumbe na Mimi [emoji85]
 
anaitwa JUMBE
 
Inawezekana wengi wao wamechunwa tu lakini hawajapewa utamu[emoji23] [emoji23]
 
nimemsika wema kwenye mahojiano mbalimbali , she is a reasonable woman , tulia dadaangu , utaolewa tu ! unajua maisha ya uanamusiki , na usanii kiujumla ni changamoto kiana !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…