God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Uchafu tuu huo sipatii hata uchi wake ulivo kwa ndani huyo dogo nae mshenzi tuu.View attachment 433610 video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa [emoji23]sijui lin atatulia loh
Calisah ana shughuli gani hapa town , ndo kwanza naisikia leo kwa kusoma huu uziPtuuuuu!Wema kanitokaaaa,nilishaanza kumpenda baada ya kumuona anajielewa.
Ila sasa hivi tokea aanze kutoka na Calisah hana tofauti na akina Mwajuma Ndalandefu.
KanumbaOngezea Clement, Jumbe na Mimi [emoji85]
Model , blazameni wa mjini yupo hadi kwenye tangazo la Voda lile ya kuchagua kunyoa nyweleCalisah ana shughuli gani hapa town , ndo kwanza naisikia leo kwa kusoma huu uzi
Sasa tusipowasema jameni hili jukwaa si litakufaWatu wananikera kumsema wema hivi,kwani mnamdai au ..... Fanyeni yenu mwacheni mtoto wa watu.
Kissing is part and parcel of everyone's life,unataka atulie akuachie wewe peke yako?, acha mambo ya privace za watu, Fanya yakoView attachment 433610 video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa [emoji23]sijui lin atatulia loh
Kwani huyu Wema kawachukulia nini,wakati yeye anafanya maisha yake am'bughudhi mtu,na kama wanaume anatumia mwili wake nyinyi shida yenu nini ......... Mimi huyu Dada siku hizi ndio nampenda sio kile kipindi cha nyuma cha kuwa na mabifu na watu,sasahivi HATAKI SHIDA NA MTU,MWACHENI KUMZALILISHA TENA HUYU ALIYEWEKA VIDEO HUMU AITOE MARA MOJA KABLA HAJACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.Sasa tusipowasema jameni hili jukwaa si litakufa
Ha ha ha ha ha sawa kaka calisahKwani huyu Wema kawachukulia nini,wakati yeye anafanya maisha yake am'bughudhi mtu,na kama wanaume anatumia mwili wake nyinyi shida yenu nini ......... Mimi huyu Dada siku hizi ndio nampenda sio kile kipindi cha nyuma cha kuwa na mabifu na watu,sasahivi HATAKI SHIDA NA MTU,MWACHENI KUMZALILISHA TENA HUYU ALIYEWEKA VIDEO HUMU AITOE MARA MOJA KABLA HAJACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.