Video za Taifa Stars.

Video za Taifa Stars.

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
3,581
Reaction score
193
Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru.

Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa.

Ahsanteni.
 
Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru.

Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa.

Ahsanteni.

Pole, Taifa Stars imesahaulika - watu wanazo za Gunners na Red Devils.
 
Back
Top Bottom