Icadon JF-Expert Member Joined Mar 21, 2007 Posts 3,581 Reaction score 193 May 22, 2009 #1 Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru. Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa. Ahsanteni.
Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru. Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa. Ahsanteni.
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 34 May 23, 2009 #2 Icadon said: Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru. Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa. Ahsanteni. Click to expand... Pole, Taifa Stars imesahaulika - watu wanazo za Gunners na Red Devils.
Icadon said: Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru. Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa. Ahsanteni. Click to expand... Pole, Taifa Stars imesahaulika - watu wanazo za Gunners na Red Devils.