Tunarudi kwenzi enzi kabla ya ukoloni mavazi yetu ya ngozi na magome ya mitiAisee Africa sasa ukicheki video za nyimbo mpya aisee wadada ni wapo nusu uchi mwanzo mwisho hadi ukiona chart za afrika kwenye tv stesheni unatoa fasta. Zipo video nyingi ambazo hazijakaa poa kucheki na watu mchanganyiko naanza na, Nyimbo ya D'prince-Bestie , tiririka na wew video unaona haiko poa.
"Matusi Mwiko"
Tuliopitwa na lugha ya malkia mtusaidie tasfiriTunarudi kwenzi enzi kabla ya ukoloni mavazi yetu ya ngozi na magome ya miti
Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you