VIDEO: Zamaradi aonyesha White house yake na mume wake

Kwa ninavyojua wabongo sidhani kama huyo manzi ametumia pesa yake binafsi kujenga hio nyumba,,,well sijui anapiga deal gani mjini ila guts zinanisukuma kuamini huo mjengo ni wa kidume tu.

Host wa kipindi kujenga nyumba ya multi-millions kwa mshahara wa laki 8 mpaka million haingii akilini unless otherwise awe na biashara za kuingiza ma container ya mizigo town.

No disrespect mjengo ni mkali, bongo kama ulaya tu sikuhizi muhimu uwe na midako tu kila kitu kinawezekana.
 
duuh...watz bwana!
Anaweka compound wall utafikiri garage, ktk design ya residential houses has a mazingira ya nchi isio Na vita kama TZA muhim kuweka from entry kuwa visible!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kuna watu huku wanacomments nikizisoma naziona kama za mhaya wa clouds... jamani....ila issue ya justification ya mpunga na matumizi yake kidogo yananiumiza akili ...just mission town na tv Host? au mi ndo cjui kutafuta helaaaaa..
 
Samahani bro. Sijakujaji na wala hilo halikuwa lengo langu. Nilitaka tuu kuonyesha kwamba kuweka swimming pool siyo mbwembwe. Again kila mtu ana priorities zake kama ulivyosema.

Apologies kama nimekukwaza Kiongozi. Pamoja sana!
Waungwana utawajua tu
 
Samahani bro. Sijakujaji na wala hilo halikuwa lengo langu. Nilitaka tuu kuonyesha kwamba kuweka swimming pool siyo mbwembwe. Again kila mtu ana priorities zake kama ulivyosema.

Apologies kama nimekukwaza Kiongozi. Pamoja sana!
Pamoja mkuu.
 
Ingawa nimeondoka clouds mambo yangu bado ni Mooto!
 
Ukweli mtupu.
Huwa anajifanya kutokupenda kiki Ila anapenda sana.!
Anajifanya hapendi showoff Ila kiukweli pale show off ndio mahali pake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…