Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Habari members!!
Katika sakata la harmonize kuachana na Meneja wake Mr.Puaz ndo limeshika habari hapa Tanzania uku Harmonize tunayemjadili yupo Nigeria leo katika jiji la Lagos katika harakati zake za kutoa show nchini humo.
Yote na yote tumtakie kazi njema kijana huyo Harmonize katika kutafuta riziki kwani waingereza wanasema "Life is an experiment, You can make the better".
Now naenda kwenye mada husika maana ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.
Zifuatazo ni Video za nyimbo zilizotazamwa kwa mwaka 2018.
1.Kwangaru-Harmonize ft Diamond Platnumz(35.6M+)
2.African Beauty-Diamond Platnumz ft Omarion(28.8M+)
3.Iyena-Diamond Platnumz(12.9M+)
4.Jibebe-WCB ft Diamond Platnumz(10M+)
5.Katika-NavyKenzo ft Diamond Platnumz(9.1M+)
6.Baila-Diamond Platnumz ft Miri Beni Ari(7M+)
7.Nadekezwa-Mboso(7M+)
8.Hodari-Mboso(7M+)
9.Mwanza-Rayvanny ft Diamond Platnumz(6.5M+)
10.Harmonize-Nitarudi(6.1M+)
Hizo ni ngoma(nyimbo) zilizotazamwa sana katika mtandao wa You Tube nchini Tanzania kwa mwaka 2018.