Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu ninapojaribu kufungua video kwenye account yangu ya mtandao X, video zinaandika flash back error...je nifanyaje ili nitizame video.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu ...hili tatzo ni la mudaWe unataka uangalie video za Batasar Ebang Engonga 😂
Mkuu bado hazifunguki...nimerestore simu na mnara unasoma 4gHakikisha mtandao wako unasoma 4G ama LTE hapo zitafunguka bila shida. Sio mjuzi nimejibu kwa uzoefu binafsi.
Samsung A04eUNATUMIA SIMU GANI?
Mkuu mimi nilikuwa sitaki kuona ...lakini kama unaza naomba nitumie.Unataka umuone mgine tuuh
Sema ngoja nikutumie mkuu unahitaji ngapi kati ya zile 400
Mtandao wa Vodacom mara ndiyo imekuwa na hili tatizo,badili mtandaoSamsung A04e
Mbinu ya Kavita.. attack & defenseMkuu mimi nilikuwa sitaki kuona ...lakini kama unaza naomba nitumie.
Hujaanza kuangalia hata moja utamaliza zile 400 kweli?Wakuu ninapojaribu kufungua video kwenye account yangu ya mtandao X, video zinaandika flash back error...je nifanyaje ili nitizame video.?
iHilo ndilo jibu.Update app yako ya X.
Ndio.iHilo ndilo jibu.
Kwann hukusema siku zote 😄Hapana mkuu ...hili tatzo ni la muda