Video zinagoma kufunguka kwenye account yangu ya mtandao X

Da nawaza mfano JF ikagoma unaeeza kupost kule mtandao X juwa JF inagoma??
Hii ni uthibitisho kuwa JF ni mtandao shirikishi kwa watumiaji wake kusaidiana japo kuna wachache wanauharibu kwa kupost nonsense
 
Unataka umuone mgine tuuh
Sema ngoja nikutumie mkuu unahitaji ngapi kati ya zile 400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…