Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha.... kusema kweli mmetuacha mbali kbs.. naona vumbi mbele yangu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanimaliza mkuu!!
Labda wamekuacha wewe.Ha ha ha.... kusema kweli mmetuacha mbali kbs.. naona vumbi mbele yangu!!
Kweli wameniacha mimi... Lakini hatuwafiki Ng'o !!!Labda wamekuacha wewe.
Geza Lol!!!!! You are the funniest man i ever met on social platform!!! Yaani unaita huo upumbavu?? Kaa ukijua, Kenya sahi ni mwanachama wa motorsport, Superbike association, Motorcross and Street racing, Kuna mipango ya Formular 1 hivi karibuni! Utahama wewe.Upumbavu gani huu?
Na usituletee hapa picha za rally sababu hio ilipita na wakati!!!!!!!!Upumbavu gani huu?
This is on another level waaaah nice one