Hakika,Basi ndio maana Trump anamchukia, kiukweli ukienda nchi za watu ni vyema kufuata tamaduni zao na sio kulazimisha kuinsert tamaduni zenu kwao
Naunga hojaBasi ndio maana Trump anamchukia, kiukweli ukienda nchi za watu ni vyema kufuata tamaduni zao na sio kulazimisha kuinsert tamaduni zenu kwao
Kupinga sera za Trump tayari ni islamist na asiye na shukrani.Ilhan omar ni islamist.
Kawaida yao wanakuwa hawana fadhila pia wanakuwa extreme.
Pia ni nzao ya sera za chama cha kidemocrat kuruhusu uhamiaji holela ili kujipatia wapiga kura wengi.
Biden alirusu watu 10mn kuingia kiholela kwa miaka minne kupelekwa kuongezeka kwa uharifu na ubakaji
Ilhan ni islamist.Kupinga sera za Trump tayari ni islamist na asiye na shukrani.
Hata Trump ana asili ya uhamiaji .
Trump anaongozwa na chuki tu hamna jingine hapo.Ilhan ni islamist.
Haya mambo hauwezi kujua kama hauko deep in geopolitics.
Ni kweli Trump ni mtu mwenye chuki ila hata huyo Ilhan Omar naye amezidi sanaTrump anaongozwa na chuki tu hamna jingine hapo.
Hata yeye (Trump) ni kikazi cha wahamiaji, Baba yake Trump alikuwa Mjerumani asilimia 100 na mama yake akitokea Scotland.
Unamuonea bure tu.Ni kweli Trump ni mtu mwenye chuki ila hata huyo Ilhan Omar naye amezidi sana
Yeye ni congresswoman wa Minnesota ila kila mara kwenye speech zake kazi ni kutetea Uislamu na wasomali tu. Mambo ambayao hayana uhusiano na USA. Anatakiwa a-serve interest za raia wa Marekani, sio wasomali. USA is not Somalia
Anyway, ningependa kuona mwisho wa Ilhan na Trump utakuwajeUnamuonea bure tu.
Yeye ni msomali na muislamu, hawezi kukaa kimya na kuacha kuisemea jamii yake inayokabiliwa na unyanyasaji kutoka kwa utawala wa Trump kisa asili yao.
mkuu katika watu wa hovyo duniani ni wanaoitwa wasomiKupinga sera za Trump tayari ni islamist na asiye na shukrani.
Hata Trump ana asili ya uhamiaji .