N nzobanga Member Joined Jul 24, 2012 Posts 14 Reaction score 0 Nov 21, 2012 #1 Wana jamii naomba kupata ushauri vidole vya migguni na mikononi vinauma, pia vinakuwa kama vinalegea hivi ni ugonjwa gani naomba kupata ushauri kabla sijaenda hospitali kwa anayejua tafadhari
Wana jamii naomba kupata ushauri vidole vya migguni na mikononi vinauma, pia vinakuwa kama vinalegea hivi ni ugonjwa gani naomba kupata ushauri kabla sijaenda hospitali kwa anayejua tafadhari
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 1, 2012 #2 Mkuu nzobanga nenda hospitali kamuone daktari kisha uje hapa utuambie Daktari amekuambia nini? ili tupate kujuwa nini chanzo cha hayo maradhi yako na tupate kukupa dawa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu nzobanga nenda hospitali kamuone daktari kisha uje hapa utuambie Daktari amekuambia nini? ili tupate kujuwa nini chanzo cha hayo maradhi yako na tupate kukupa dawa.