Vidole vya mikono vya kati kuuma ni dalili ya ugonjwa gani?

kyamtagata

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
56
Reaction score
26
Habari za leo wakuu,
Sasa hivi yapata kama mwezi mmoja umepita niliamka asbh nikakuta kidole cha kati mkono wa kulia kinauma design kama kinachoma au kama kinawasha. Nikikibinya hakina maumivu lakini nikikigusa nasikia maumivu.

Ilipofika mida ya saa nane mchana kidole cha kati mkono wa kushoto nacho kikaanza dalili hizo hizo. Nikiviminya haviumii lakini nikiwa nimekaa tu bila kuvigusa nasikia maumivu.

Nafikiria hata nikienda hospital jinsi ya kujieleza nashindwa niwaelezeje madaktari naomba mwenye wazo lolote juu ya hii shida niliyonayo anisaidie mchango wa mawazo ya kipi nifanye.
Natanguliza shukrani.
 
Reminder....sijapewa ushauri wowote na hari yangu inazidi kuwa tete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…