vidonda kwenye koo

vidonda kwenye koo

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
habari!
naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari
 
habari!
naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari
tafuta matibabu ktk hospital kubwa haraka sana sio dalili nzuri kabla haijawa kansa ya koo pole sana
 
Back
Top Bottom