habari!
naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari