kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Tafuta Asali mbichi uwe unapakaa kwenye hivyo vidonda asubuhi, mchana na usiku kwa muda wa siku 7 utapona. Kama hujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu
Jambo afande???Mimi nilitumia mult vitaminUlimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu